Mto Barosio
Mandhari
Mto Barosio unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Aligide ambao huishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Haddas.