Odulfi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Odulfi.

Odulfi (pia: Odwulf, Odulf, Odulph, Odulfo, Odulphus[1] ; alifariki Utrecht, Uholanzi, 865 hivi) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino kutoka Brabant Kaskazini aliyeinjilisha kwa mafanikio Wafrisia[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake ni tarehe 12 Juni[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. William George Searle, Onomasticon Anglo-Saxonicum: A List of Anglo-Saxon Proper Names from the Time of Beda to that of King John. (Cambridge University Press, 2012) Page 363.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/56870
  3. The Oxford Dictionary of Saints, Oxford University Press.
  4. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.