Niamh Fahey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fahey akiwa Liverpool mnamo 2015

Niamh Fahey (alizaliwa 13 Oktoba 1987)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ambaye anacheza kama kiungo mkabaji au beki wa klabu ya Liverpool FC ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL)[2] na timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland. [3]

Amewahi kuichezea Chelsea. Kabla ya kujiunga na Chelsea Desemba 2014, Fahey alitumia misimu sita na Arsenal Ladies.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce93/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Liverpool FC Women suffer defeat at Manchester United - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2023-01-15. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. "Fahey agrees new Liverpool Women deal", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-21 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niamh Fahey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.