Neot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kioo cha rangi katika dirisha huko Eynesbury, Cambridgeshire.

Neot alikuwa mmonaki mkaapweke wa karne ya 9 huko Cornwall akafariki mnamo 870.

Anatajwa katika kitabu cha Asser Life of King Alfred[1].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Cornish Church Guide (1925) Truro: Blackford; p. 170

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • The Anglo-Saxon Chroncile: A Collaborative Edition, vol. 17: The Annals of St Neots with Vita Primi Sancti Neoti, ed. David Dumville and Michael Lapidge. Cambridge: D. S. Brewer, 1985.
  • Mary P. Richards, "The Medieval Hagiography of St. Neot," Analecta Bollandiana 99:3-4 (1981), pp. 259-278. https://doi.org/10.1484/J.ABOL.4.03043
  • Young, Rosa (1996) St Neots Past, pp. 15–18. Chichester: Phillimore and Co Ltd. ISBN 1-86077-025-8
  • BHL 6052 (1101–1125) : Vita (AASS 31 Jul.)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.