Necati Er
Necati Er (alizaliwa Samsun, Uturuki kaskazini, Februari 24, 1997[1]) ni mwanariadha wa Uturuki aliyebobea kwenye kuruka mara tatu.
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Katika ujana wake, alitengeneza mapenzi na michezo. Mwalimu wake wa masomo ya viungo katika shule ya kati alimualika kwenye mafunzo ya riadha. Wakati huo huo, alicheza mpira wa miguu. Baba yake alikuwa akiingiza kipato kidogo hivyo hakutaka ajihusishe na michezo Zaidi wakati ingawa mama yake alimuunga mkono. Baba yake kucheza mpira wa miguu pekee na alimkataza kujihusisha na riadha kwa sababu hakuona mafanikio ya baadaye kwenye michezo ya aina hiyo. Wiki moja kabla hajajiunga na timu ya mpira, alikubaliwa kujiunga na timu ya riadha. Alikuwa bingwa kwenye mkoa wa Samsun, na akapata nafasi ya kushindana kwenye michuano ya Uturuki i ambapo alikuwa mshindi wa pili na bingwa . Baada ya mafanikio yake, baba yake akakubaliana na shughuli zake za michezo. Alifanya riadha na kuruka juu kabla ya kuamua kubobea kwenye kuruka mara tatu.[2]
Kazi ya michezo
[hariri | hariri chanzo]Aliweza kuboresha mbinu zake baada ya shirikisho la riadha Uturuki kuteuwa kocha wa kigeni kwa ajil ya kuruka mara tatu.[2] Alishinda dhahabu kwenye michuano ya ulaya ya umri chini ya miaka 23 mwaka 2019 liyofanyika Galve,Sweden kwa rekodi ya taifa ya mita 17.37(futi 57.0).[2][3]kwa haya matokeo alipokea Quota kwa riadha katika michuano ya olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Dedeoğlu, Necati (2017-04-27). "Yanıta eleştiri". Türkiye Halk Sağlığı Dergisi. 15 (1): 68–68. doi:10.20518/tjph.326829. ISSN 1304-1096.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 Bayram, Metin; Çınar, Orhan (2018-03-29). "Athletics in Ağrı: The history and its place in Turkish sports
Ağrı'da atletizm: Tarihi ve Türk sporundaki yeri". Journal of Human Sciences. 15 (1): 554. doi:10.14687/jhs.v15i1.4988. ISSN 2458-9489.
- ↑ Cochran, John (2019-04-01). "ER Consolidated Qtrly Rpt_April-July 2018 April 2019".
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help) - ↑ Cochran, John (2019-04-01). "ER Consolidated Qtrly Rpt_April-July 2018 April 2019".
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Necati Er kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |