Ndani ya Bongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndani ya Bongo
Ndani ya Bongo Cover
Studio album ya Mr. II
Imetolewa 1996
Imerekodiwa 1995-1996
Aina Bongo Flava, Hip hop
Lebo FM Music Bank
Mtayarishaji P. Funk
Master Jay
Wendo wa albamu za Mr. II
"Ni Mimi"
(1995)
"Ndani ya Bongo"
(1996)
"Niite Mr. II"
(1998)


Ndani ya Bongo ni jina la albamu ya pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1996 mwaka mmoja tangu atoe albamu ya kwanza. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kwa Penzi, Ndani Ya Bongo na Mojakwamoja. [1] Albamu imetayarishwa na watayarishaji wakubwa wawili wa Tanzania, P. Funk na Master Jay.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. A1 - Intro
  2. A2 - Nimesimama
  3. A3 - KwaPenzi
  4. A4 - Mojakwamoja (Orgn.)
  5. A5 - Black Queen
  6. A6 - Mojakwamoja (Re-mix)
  7. B1 - Ndani Ya Bongo
  8. B2 - Fani
  9. B3 - Blaah Blaah
  10. B4 - Kwa Penzi (Remix)
  11. B5 - Got You Open

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ndani ya Bongo katika wavuti ya Discogs