Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niite Mr. II, ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1998, miaka miwili tangu atoe albamu yapili. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Zaidi na Zaidi, Hali Halisi, Nnapotaka na Sema Nao. [1]
- A1 - Mahakamani Intro
- A2 - Hali Halisi
- A3 - Kijiweni Intro
- A4 - Hamna Noma
- A5 - Nnapotaka
- A6 - Yote Ni Pesa
- A7 - Matter Of Fact
- B1 - Radio Intro
- B2 - Sema Nao
- B3 - Kila Siku Kila Mwaka
- B4 - Zaidi Ni Zaidi
- B5 - Yeyote Popote
- B6 - Dangerous Minds