Nenda kwa yaliyomo

Namasi wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Namasi wa Vienne (pia: Namasius, Naamat, Namat, Namatius; 486 - 559 hivi) alikuwa mtawala wa Provence, halafu askofu mkuu wa Vienne, Ufaransa hadi kifo chake[1][2][3].

Katika nafasi zote mbili aliongoza kwa uadilifu [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo tarehe 9 Desemba 1903[5].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Novemba[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Bernard de Vregille, BSS, vol. IX (1967), col. 708.
  2. Edmond Le Blant, Inscriptions chrétiennes de la Gaule antérieures au VIIIe siècle, t. II (1865), pp. 96-99.
  3. Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. I (1907), pp. 190-192.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/77920
  5. Index ac status causarum (1999), pp. 464 e 599.
  6. Martyrologium Romanum
  • Klingshirn, William E. (1994). Caesarius of Arles: the Making of a Christian Community in Late Antique Gaul. Cambridge University Press.
  • Brennan, Brian (1985). "Episcopae: Bishops' Wives Viewed in Sixth-Century Gaul". Church History. 54 (3): 311–21. doi:10.2307/3165657. JSTOR 3165657. S2CID 161325550.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.