Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Randi ya Afrika Kusini (kwa Kiingereza South African Rand, kifupi ZAR) ni sarafu ya Afrika Kusini.
Noti za Randi ya Afrika Kusini.
|
|
Mbele |
Nyuma |
Radi |
Lugha |
Ukubwa(mm)
|
10 Rand
|
Nelson Mandela
|
Kifaru
|
Kijani
|
Kiingereza, Kiafrikaans, Kiswati
|
128×70
|
20 Rand
|
Tembo
|
Kahawia
|
Kiingereza, Kindebele, Kitswana
|
134×70
|
50 Rand
|
Simba
|
Nyekundu
|
Kiingereza, Kivenda, Kixhosa
|
140×70
|
100 Rand
|
Nyati
|
Buluu
|
Kiingereza, Kisotho cha Kaskazini, Kitsonga
|
146×70
|
200 Rand
|
Chui
|
Machungwa
|
Kiingereza, Kisotho-Kusini, kizulu
|
152×70
|
Sarafu za Afrika Kusini.
|
|
Mbele |
Nyuma
|
5c
|
|
Anthropoides Paradisea
|
10c
|
|
Zantedeschia Aethiopica
|
20c
|
|
Protea
|
50c
|
|
Strelitzia Reginae
|
R1
|
|
Swala
|
R2
|
|
Tandala
|
R5
|
|
Nyumbu
|