Kindebele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kindebele ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wandebele. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kindebele imehesabiwa kuwa watu 640,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindebele iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindebele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.