Kitsonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kitsonga (pia Kishangaan) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji, Afrika Kusini na Zimbabwe inayozungumzwa na Watsonga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitsonga katika nchi zote imehesabiwa kuwa watu 3,669,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsonga iko katika kundi la S50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.