Mtumiaji:HMC-Mzansi/sanduku la mchanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

Rand[hariri | hariri chanzo]

Randi ya Afrika Kusini (kwa Kiingereza South African Rand, kifupi ZAR) ni sarafu ya Afrika Kusini.

Noti[hariri | hariri chanzo]

Noti za Randi ya Afrika Kusini.
Mbele Nyuma Radi Lugha Ukubwa(mm)
10 Rand Nelson Mandela Kifaru Kijani Kiingereza, Kiafrikaans, Kiswati 128×70
20 Rand Tembo Kahawia Kiingereza, Kindebele, Kitswana 134×70
50 Rand Simba Nyekundu Kiingereza, Kivenda, Kixhosa 140×70
100 Rand Nyati Buluu Kiingereza, Kisotho cha Kaskazini, Kitsonga 146×70
200 Rand Chui Machungwa Kiingereza, Kisotho-Kusini, kizulu 152×70

Sarafu[hariri | hariri chanzo]

Sarafu za Afrika Kusini.
Mbele Nyuma
5c Anthropoides Paradisea
10c Zantedeschia Aethiopica
20c Protea
50c Strelitzia Reginae
R1 Swala
R2 Tandala
R5 Nyumbu

Ramani[hariri | hariri chanzo]

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kasaï
Mahali paMkoa wa Kasaï
Mahali paMkoa wa Kasaï
Mahali pa Mkoa wa Kasaï katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 05°21′0″S 21°25′0″E / 5.35000°S 21.41667°E / -5.35000; 21.41667
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mji mkuu Luebo
Serikali
 - Gouverneur Marc Manyanga
Eneo
 - Jumla 95,631 km²
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 3,199,891