Mto Wabe (Ethiopia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Wabe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Omo, ambao linatokana na muungano wake na mto Gibe. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Wabe (Ethiopia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.