Mto Mui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mui unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Mui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.