Nenda kwa yaliyomo

Mto Kuma (Uganda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kuma (Uganda) unapatikana katika wilaya ya Hoima, magharibi mwa Uganda, kwenye ziwa Albert.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]