Nenda kwa yaliyomo

Mto Kaizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kaizi unapatikana katika wilaya ya Rukungiri, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Edward, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]