Mto Balagas
Mandhari
Mto Balagas unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangiwa na mto Balessa na mto Dorana.
Ni tawimto la mto Tekeze ambao unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Balagas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |