Mto Bahr al-Ghazal
Mandhari
Makala hii inahusu mto wa Sudan Kusini. Kwa korongo la Chad, tazama Bahr el-Ghazal (Chad).
Mto Bahr el Ghazal (pia: Bahr al Ghazal na Baḩr al Ghazāl; kwa Kiarabu: بحر الغزال, maana yake "mto wa swala") unapatikana Sudan Kusini.
Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa kilometre 716 (mi 445), ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.[1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bahr al-Ghazal". Encyclopædia Britannica Online Library Edition. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Bahr-el-Ghazal. |
- Bahr-el-Ghazal Archived 14 Mei 2009 at the Wayback Machine., The Columbia Encyclopedia, Sixth Edition
- Baḩr al Ghazāl Archived 9 Machi 2008 at the Wayback Machine., GEOnet Names Server