Nenda kwa yaliyomo

Mto Anaka (Nwoya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Anaka (Nwoya) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika wilaya ya Nwoya, kaskazini mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]