Nenda kwa yaliyomo

Mto Amara (Ethiopia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Amara unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Amara (Ethiopia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.