Mto Alanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Alanga unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Alanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.