Nenda kwa yaliyomo

Mti-kivuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mti-kivuli
(Acrocarpus fraxinifolius)
Miti-kivuli
Miti-kivuli
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Caesalpinioideae
Jenasi: Acrocarpus
Wight ex Arn.
Spishi: A. fraxinifolius
Wight ex Arn.

Mti-kivuli (Acrocarpus fraxinifolius) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae. Umepata jina lake kwa sababu hupandwa kama mti wa kivuli kwa mashamba ya mibuni, huko Asia hasa. Asili yake ni Asia ya Kusini na ya Mashariki, lakini siku hizi hupandwa pia katika kanda za tropiki za Afrika na Amerika.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mti-kivuli kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.