Mlima Kimhandu
Mandhari
Mlima Kimhandu (au Kimhondu) ni mmoja katika Milima ya Uluguru, safu ya milima katika Tanzania mashariki, km 200 hivi kutoka Bahari ya Hindi. Ni sehemu ya Milima ya Tao la Mashariki (pamoja na Milima ya Taita nchini Kenya, Milima ya Upare, Milima ya Usambara, Milima ya Unguu, Milima ya Rubeho, Milima ya Ukaguru, Milima ya Udzungwa, Milima ya Uvidunda na Milima ya Mahenge).
Pamoja na mlima Mtingire ni mrefu kuliko yoke, ukiwa na kimo cha mita 2650 juu ya usawa wa bahari[1].