Milima ya Rubeho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Milima ya Rubeho iko nchini Tanzania katika Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Dodoma.

Kati ya milima hiyo kuna mlima Iputa, mlima Mhundugulu, mlima Mlimu na mlima Ohakwandali.

Kilele cha juu kiko mita 2,133 juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]