Mlima Iputa
Mandhari
Mlima Iputa ndio mrefu zaidi kati ya milima ya Rubeho iliyoko katika Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania.
Una urefu wa mita 2,133 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Iputa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |