Milima ya Ukaguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ya Tanzania

Majiranukta kwenye ramani: 06°28′S 37°00′E / 6.467°S 37°E / -6.467; 37


Milima ya Ukaguru (pia Ukuguru) iko mashariki mwa Tanzania katika Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro.

Jina linatokana na kabila la Wakaguru ambao ndio wenyeji wa eneo hilo.

Kilele cha juu kiko mita 806 juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.

Mto Wami una chanzo chake hapa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]