Milima ya Uvidunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Milima ya Uvidunda iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Jina linatokana na kabila la Wavidunda ambao ndio wenyeji wa eneo hilo.

Kilele cha juu kiko mita ? juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]