Milima ya Taita

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search

Milima ya Taita (kwa Kiingereza: Taita Hills, pia Teita Hills) iko kusini mashariki mwa Kenya, katika kaunti ya Taita-Taveta.

Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki ambayo ina miaka zaidi ya milioni 100[1] .

Milima ni hasa mitatu: Dabida, Sagalla na Kasigau. Mkubwa zaidi ni Dawida ambao unafikia 2,228 metres (7,310 ft) juu ya usawa wa bahari katika kilele cha Vuria. Vingine ni: Iyale, Wesu, and Susu.

Tazama pia[edit | edit source]

Tanbihi[edit | edit source]

Viungo vya nje[edit | edit source]

Majiranukta kwenye ramani: 3°25′S 38°20′E / 3.417°S 38.333°E / -3.417; 38.333