Milima ya Unguu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Milima ya Unguu iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Jina limetokana na kabila la Wanguu ambao ndio wenyeji wa eneo hilo.

Kilele cha juu kiko mita 941 juu ya usawa wa bahari.

Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]