Mkonge Dume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkonge dume
Mkonge dume
Mkonge dume
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
Oda: Asparagales (Mimea kama mwinikanguu)
Familia: Asparagaceae (Mimea iliyo mnasaba na mwinikanguu)
Jenasi: Agave (Mikonge-pori)
L.
Spishi: A. sisalana
Perrine

Mkonge dume au mkatani ni spishi ya mmea katika familia Asparagaceae unaokuzwa kwa ajili ya vitembwe vyake au katani.

Asili na uenezi[hariri | hariri chanzo]

Mkonge dume una asili ya Meksiko lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropiki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa zao la katani. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani ya Afrika ya Mashariki. Kwa miaka mingi Tanzania iliongoza duniani katika zao hilo.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkonge Dume kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.