Mkiwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkiwi
Mikiwi ikitoa matunda
Mikiwi ikitoa matunda
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Ericales (Mimea kama mdambi)
Familia: Actinidiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkiwi)
Jenasi: Actinidia
Lindl.
Ngazi za chini

Spishi 8 zilizo na matunda yaliwayo kwa kawaida (jumla >40):

Mikiwi ni mimea ya jenasi Actinidia katika familia Actinidiaceae. Mimea hii ni vichaka vyenye urefu wa hadi m 6 au mitambazi ya hadi m 30. Inazaa matunda yalikayo ambayo huitwa kiwi. Asili ya mimea hii ni Asia ya Mashariki lakini spishi kadhaa hukuzwa katika nchi nyingine, mkiwi wa kawaida (Actinidia deliciosa) hasa katika Italia na Nyuzilandi.

Spishi zinazoliwa sana[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]