Mkange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Majiranukta kwenye ramani: 6°6′22″S 38°40′36″E / 6.10611°S 38.67667°E / -6.10611; 38.67667


Mkange ni kata ya Wilaya ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61322[1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,026 [2] walioishi humo.

Mkange ina vijiji vya Mkange, Matipwili, Gongo, Mandamazingara na Saadani iliyokuwa kati ya bandari muhimu za Uswahilini wakati wa karne ya 19.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bagamoyo - Mkoa wa Pwani - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bwilingu | Dunda | Fukayosi | Kerege | Kibindu | Kimange | Kiromo | Kiwangwa | Lugoba | Magomeni | Mandera | Mbwewe | Miono | Mkange | Msata | Msoga | Pera | Talawanda | Ubenazomozi | Vigwaza | Yombo | Zinga


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkange kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.