Nenda kwa yaliyomo

Mina Guli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mina Guli
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaAustralia Hariri
Jina halisiMina Hariri
Jina la familiaGuli Hariri
Kazibusinessperson Hariri
AlisomaMonash University, University of Melbourne, Monash University Faculty of Law Hariri
Affiliation stringTHIRST Hariri
AmeshirikiWorld Economic Forum Annual Meeting 2013 Hariri

Mina Guli ni mfanyabiashara wa Australia, anayefanya kazi katika sekta ya mazingira. [1] Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji. [2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Guli alizaliwa katika Mlima Waverley, kitongoji cha Melbourne akasoma katika Chuo Kikuu cha Melbourne. Mnamo 1993 Guli alichaguliwa kama raisi wa Muungano wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Monash. Guli alipata ajali ya kuanguka katika bwawa la kuogelea na kuvunjika mgongo na madaktari walimwambia kwamba hataweza kukimbia tena.

Baada ya kuhitimu, Guli alifanya kazi kama wakili kwenye sekta binafsi ya nishati na miundombinu. Mnamo mwaka 1999 alihamia Sydney Futures Exchange, ambapo alihusika katika maendeleo ya masoko ya uzalishaji wa kaboni ya Australia.Mnamo mwaka 2002 aliombwa kujiunga na Benki ya Dunia na kusaidiwa katika kuendeleza miradi ya biashara ya kaboni nchini China, India, Nepal na Indonesia. Mwaka wa 2012, Guli alianzisha kundi la Thirst, linalopigania uhifadhi wa maji kwa vijana.[3] Guli alijaribu kukimbia marathoni kwa siku mia moja ili kuhamasisha ufahamu juu ya uhaba wa maji, lakini alivunjika mfupa wa paja na kulazimika kuachana na kampeni hiyo siku ya sitini na tatu.[4]

  1. World Economic Forum. "Young Global Leaders". The World Economic Forum. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Thirst. "Thirst: Who are we?". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-20. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Ross, Ambika (2017-04-20). "MEET THE 46-YEAR-OLD WOMAN RUNNING 40 MARATHONS IN 40 DAYS". The Independent. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 2021-08-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. CNBC. "48-year-old CEO who pledged to run 100 marathons in 100 days shares the secret to mental toughness". Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mina Guli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.