Milima ya Ukaguru
Mandhari
06°28′S 37°00′E / 6.467°S 37.000°E
Milima ya Ukaguru iko mashariki mwa Tanzania katika wilaya za Kilosa na Gairo mkoani Morogoro ambapo milima ya Rubeho ipo wilaya ya Gairo na milima ya Ukaguru ipo wilaya ya Kilosa; mto Mkondoa ndio unaotenganisha milima hiyo.
Kilele cha juu kiko mita 806 juu ya usawa wa bahari.
Jina linatokana na kabila la Wakaguru ambao ndio wenyeji wa eneo hilo. Ndipo mahali ambapo walitia nanga baada ya safari yao ndefu kutoka nchini Rwanda.
Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.
Mto Wami una chanzo chake hapa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Ukaguru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |