Mfuu
Mandhari
Mfuu | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mfuu maplamu-meusi (Vitex doniana)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 250, 11 katika Afrika ya Mashariki:
|
Mifuu (pia mifuru au mifudu) ni miti ya jenasi Vitex katika familia) Lamiaceae. Spishi nyingine huitwa mbwanga, mgege, msasati, mtalali au mvumba.
Jenasi hiyo ina spishi takriban 250 na kati ya hizo kadhaa zinatokea Afrika ya Mashariki.
Matunda yake yalikayo huitwa mafuu na yana rangi ya nyeusi, zambarau au nyekundu.
Spishi za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Vitex amaniensis, Mfuu wa Amani
- Vitex doniana. Mfuu Maplamu-meusi
- Vitex ferruginea, Mfuu-mchanga, mgege au mtalali
- Vitex fischeri, Mfuu wa Fischer
- Vitex keniensis, Mfuu wa Kenya
- Vitex madiensis, Mfuu Majani-yakwaruzayo
- Vitex mombassae, Mfudumaji, mbwanga, msasati au mtalali
- Vitex payos, Mfuu Beri-chokoleti
- Vitex strickeri, Mfuu wa Stricker au mvumba
- Vitex trifolia, Mfuu Maua-buluu
- Vitex zanzibarensis, Mfuu wa Zanzibar
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mfuu wa Kenya
-
Mfuu maua-buluu
-
Maua ya mfuu maua-buluu
-
Mafuu (maplamu meusi)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikispecies has information related to: Mfuu |
- List of Genera in Lamiaceae, Missouri Botanical Garden
- Vitex, Index Nominum Genericorum
- Vitex in Biodiversity Heritage Library
- CRC World Dictionary of Plant Names: R-Z
- Systematics of Lamiaceae Subfamily Viticoideae
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfuu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |