Fuu (tunda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fuu (pia furu) ni tunda lilikalo la mti mfuu ambao unakua porini lakini kupandwa katika bustani na mbuga pia. Mara nyingi mafuu mabivu huwa meusi au ya rangi ya zambarau iliyokoza.

Makala hii kuhusu "Fuu (tunda)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.