Nenda kwa yaliyomo

Mektilde wa Hackeborn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Engelszell.

Mektilde wa Hackeborn, O.S.B. (pia: Mechthild, Mechtilde; 1240/124119 Novemba 1298) alikuwa mmonaki wa kike wa monasteri ya Helfta nchini Ujerumani, maarufu kwa ujuzi wa dini na unyenyekevu, aliyeangazwa na Mungu katika sala ya kumiminiwa[1].

Ndiye aliyemlea mtoto Getrude Mkuu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waanglikana na Walutheri kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 19 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.