Mbungo
Mandhari
Mbungo (Saba spp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Maua ya mbungo wa kawaida (Saba comorensis)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 3
|
Mibungo ni aina za vichaka au mimea mbaachi inayopanda juu ya miti. Ina mafundo ya maua meupe na matunda ya ukubwa wa machungwa yanayoitwa mabungo. Maji yao ni machungu sana lakini yana vitamini C nyingi.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Saba comorensis, Mbungo wa Kawaida au Mpira (Rubber vine)
- Saba senegalensis, Mbungo Magharibi (Senegal saba)
- Saba thompsonii, Mbungo-mwitu (Forest saba)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mmea wa mbungo magharibi
-
Maua ya mbungo magharibi
-
Bungo bichi la mbungo magharibi
-
Ngedere magharibi akila bungo
-
Mabungo mabivu
-
Bungo lililokatika na nyama ya ndani