Nenda kwa yaliyomo

Maudeto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maudeto katika dirisha la kioo cha rangi.

Maudeto (pia: Maudez, Maudé, Maudet, Maodez, Modez, Maudetus, Mandé na Mawes; Visiwa vya Britania, karne ya 5Bretagne, leo kaskazini mwa Ufaransa, karne ya 6 hivi) alikuwa mmonaki ambaye aliinjilisha kwanza Cornwall halafu visiwa vya Bretagne [1] alipoanzisha monasteri akawa abati wake na mlezi wa watakatifu kadhaa [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Novemba [3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Butler, Alban (1866), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, James Duffy, iliwekwa mnamo 10 Agosti 2021{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Doble, G. H. (1964), The Saints of Cornwall: part 3. Truro: Dean and Chapter

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.