Mashahidi wa Douai
Mandhari

Mashahidi wa Douai ni jina linalotumiwa na Kanisa Katoliki kujumlisha mapadri 160 hivi waliojiandaa huko Douai (Ufaransa) kwenda au kurudi Uingereza au Wales ili kufanya utume huko, bila kujali dhuluma kali ya serikali ya nchi hiyo dhidi ya Wakatoliki.
Kwa ajili hiyo waliuawa kati ya miaka 1577 na 1680 kama wasaliti.[1]
Kati yao, zaidi ya 80 walitangazwa wenye heri na Papa Pius XI tarehe 15 Desemba 1929 pamoja na wafiadini wengine wa dhuluma hiyohiyo. Baadhi yao walitangazwa na Papa Paulo VI kuwa watakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-18. Iliwekwa mnamo 2018-01-12.
- ↑ "westminsteryearbook.org.uk". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-08-17. Iliwekwa mnamo 2018-01-12.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mashahidi wa Douai kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |