Nenda kwa yaliyomo

Martha Jachi Umbulla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martha Jachi Umbulla (10 Novemba 1955 - 21 Januari 2021) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. Alifariki 21 Januari 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu[1].

  1. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbunge-ccm-afariki-dunia-3264306
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martha Jachi Umbulla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.