Maria Eufrasia Pelletier
Mandhari
(Elekezwa kutoka Maria Pelletier)
Maria Eufrasia Pelletier (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Julai 1796 – Angers, 24 Aprili 1868) ni sista maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la Bibi Yetu wa Upendo wa Mchungaji Mwema ili kupokea kwa huruma wanawake kahaba[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 1933, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 2 Mei 1940[2].
Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 24 Aprili[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""Saint Mary Euphrasia Pelletier", Catholic Pamphlets, 1958" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-07-12. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.
- ↑ "St. Mary Euphrasia Pelletier", Good Shepherd Sisters, Philippine Province
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- The Story of St. Mary Euphrasia Pelletier, Good Shepherd sisters, Province of Singapore-Malaysia (2014) ISBN|978-967-11703-2-8
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Congregation of Our Lady of Charity of the Good Shepherd Ilihifadhiwa 21 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine.
- Contemplative Sisters of the Good Shepherd
- Good Shepherd Sisters founder statue in St. Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |