Nenda kwa yaliyomo

Mamlaka ya Weusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mamlaka ya Weusi (kwa Kiingereza: Black supremacy au black supremacism) ni itikadi ambayo imejikita katika imani ya kumwezesha au kumhamasisha watu weusi kuwa juu na bora zaidi ya watu wa rangi nyingine hivi kwamba watu weusi waweze kuwashinda watu ambao sio weusi katika nyanja zote yaani uchumi, siasa na jamii.

Kwa baadhi ya wataalamu hilo ni kundi la chuki.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Weusi Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.