Nenda kwa yaliyomo

Makubaliano ya Kimataifa juu ya Haki za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makubaliano ya Kimataifa juu ya Haki za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kati ya wadau wa haki za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kimataifa yaliyokubaliwa na mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Azimio 2200A (XXI) ni la tarehe 16 Disemba 1966 na utekelezaji ulianza 3 Januari 1976 [1] kulingana na kifungu cha 49 cha makubaliano.

Vifungu vyake vimejikita zaidi katika utoaji wa haki za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa himaya au serikali za kuaminika zisizofungamana na upande wowote ikijumuisha: haki za wafanyakazi, Haki za kupata afya, haki ya kupata elimu na haki ya kupata maisha bora.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UN Treaty Collection: International Covenant on Economic, Social and Cultural Rights". UN. 3 Januari 1976.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Fact Sheet No.2 (Rev.1), The International Bill of Human Rights". UN OHCHR. Juni 1996. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Machi 2008. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)