Majadiliano ya mtumiaji:TELESPHORY

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages.

--Baba Tabita (majadiliano) 20:54, 21 Machi 2015 (UTC)

Vitabu vya Biblia[hariri chanzo]

Soma hapa: Deuterokanoni. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:53, 27 Machi 2015 (UTC)

Upumuo[hariri chanzo]

Asante kwa mchango wako kuhusu Upumuo. Umeweka chanzo kinachofaa.Hata hivyo naomba uangalie mawili:

  • usitie sahihi wala jina lako ndani ya makala.
  • Weka viungo vya ndani, katika sentensi ile maneno "mapafu" na "oksijeni" yapo tayari kwa hiyo ni vema kuyaunganisha kwa mabano mraba [[ ]] baadaye (au kwa kubofya alama ya nyororo juu).
  • Unganisha na lugha nyingine (muhimu hasa kwa makala za kimsingi), upande wa kushoto chini unaona "languages" na "add links", tafuta makala husika ya enwiki (hapo: breathing). Kipala (majadiliano) 05:46, 2 Juni 2015 (UTC)

Karibu tena[hariri chanzo]

Karibu tena baada ya kupotea kwa muda! Kipala (majadiliano) 09:57, 9 Februari 2017 (UTC)