Majadiliano ya mtumiaji:Rickrick93

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:15, 2 Novemba 2020 (UTC)[jibu]

Kutaja vyanzo[hariri chanzo]

Habari, naomba usisahau kuonyesha marejeo kwa makala unazoanzisha. - Please do not forget to show references for articles you bring here. Angalia mwongozo wetu Wikipedia:Mwongozo_(Kutaja_vyanzo) (pia kwa Kiingereza en:Wikipedia:Citing sources, ingawa pale ni tata zaidi kuliko kwetu). Kipala (majadiliano) 13:03, 7 Novemba 2020 (UTC)[jibu]

Please, remember this request! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:25, 3 Septemba 2021 (UTC)[jibu]
Your pages are not so bad, but why do you refuse any communication with us? We'll have to block you. Peace to you. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:51, 5 Septemba 2021 (UTC)[jibu]

Dear friend, obviously you do not know Swahili well, as is visible in your last edits Marimar, Mi corazón es tuyo, María la del Barrio. So far you did not react to any communication. This wikipedia welcomes everybody who contributes and sticks to our rules, but we do not need more contributions of articles with faulty language which give us work to clean up. I block you until you start communicating. You can do that by writing an email to me or Riccardo (use option "Email this user" on our personal pages) Kipala (majadiliano) 08:26, 23 Septemba 2021 (UTC)[jibu]