Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Fransisko wa Asizi

[hariri chanzo]

Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: Fransisko wa Asizi (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-[[it:Fransisko of Asizi]] (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-Fransisko wa Asizi. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--Mwanaharakati 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]

Kuna kitu nimesahau kukueleza. Kuweka jamii au category katika makala, mfano: [[Category:Watakatifu wa Italia]] au [[Category:Watakatifu]] na nyingine ya mwaka aliozaliwa -unaweka mabano kama hayo kisha unaadika (Waliozaliwa 19 na...) kama kafa unaandika Waliofariki (mwaka aliokufa). Natumai utakuwa umeelewa!!--Mwanaharakati 05:20, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]


Inquiry

[hariri chanzo]

Hello Riccardo. I've seen in article's history (Tafsiri ya Vishazi na Virai ...) that you removed the image that goes with the article. I thought it's a good Wikipedia practice to communicate with you to inquire for the reason. Dee Soulza (majadiliano) 18:03, 8 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Yes, it's a good practice. The reason is that the image was not more visible. I don't know why, but if you can restore its visibility, let you do. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 04:56, 9 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Hi Ricardo! helped me to add this Linguistic map of the Sumbawa language to Wikipedia English for the Sumbawa language thanks.

Areas where Sumbawa language is spoken

140.213.127.134 16:51, 15 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Why don't you yourself add it? I see there a editing war... Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:21, 16 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Ha ha ha h aha... Umeona siwe tabu. Dah! Muddyb Mwanaharakati Longa 10:00, 20 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Ndugu Riccardo Riccioni,

Unadhani una muda wa kupitia makala za msingi? Pengine ukatafsiri vichwa vya makala? Nitaangalia namna ya kujaza makala hayo. Lakini nitahakikisha yanakuwemo humu. Unisamehe sana kwa usumbufu. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:59, 20 Juni 2024 (UTC) [jibu]

Ndugu, kazi hiyo ni kubwa sana, ila bahati nzuri tulikwishafanya mimi na marehemu wetu mpenzi Kipala. Tazama: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo, Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa, Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000. Sijui kwa nini wanaoandaa edithatons wanaelekeza wahariri wapya kuandika makala juu ya watu wasiojulikana sana au ni maarufu kwa ushoga wao badala ya kutunga kurasa hizi za msingi... Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Unisamehe kwa kutunza kumbukumbu zako nje ya mfuko wa majadiliano

[hariri chanzo]

Ndugu Riccardo,

Kama umetambua hivi sasa majadiliano yako yanaonekana kiduchu sana. Nimeyahifadhi katika nyaraka zako kwa vile ni muhimu sana ziwepo. Pia unisamehe kwa kuja nyumbani na kuvunja vitu pasipo-adabu! Muddyb Mwanaharakati Longa 07:43, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]

No problem! Tuko pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]

Pendekezo la kuondoa wakabidhi

[hariri chanzo]

Ndugu Riccardo,

Kuna pendekezo hapa. Naomba upige kura; https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi#Pendekezo_la_kuondoa_WAKABIDHI_wasio_hai

Amani kwako. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:11, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]

Deleting files

[hariri chanzo]

Hello! I can't find the administrators notice board so I write to you because you are the most active admin. All files need a valid license and I noticed that a number of files on Maalum:FailiZisizotumika does not have a valid license.

Some have been nominated for deletion and can be seen in Jamii:Makala kwa ufutaji. Perhaps you can have a look and delete the files? The files in Jamii:NowCommons can most likely also be deleted.

Also GFDL is not a good license for media files so perhaps you can remove it from MediaWiki:Licenses? --MGA73 (majadiliano) 17:45, 17 Agosti 2024 (UTC)[jibu]

Ahsante sana bw. Riccardo

[hariri chanzo]

Kiongozi, nimefurahishwa sana na marekebisho ya kiufundi uliyoyafanya kwenye makala ya changamoto za Kiswahili. Aluta continua. Idumu Wikipidia ya Kiswahili. Dee Soulza (majadiliano) 16:56, 30 Agosti 2024 (UTC)[jibu]

Childbirth

[hariri chanzo]

Does SW WP not have an article on childbirth?[1]. Not clear why this one was removed?[2] Doc James (talk · contribs · email) 07:08, 4 Septemba 2024 (UTC)[jibu]

Dear doctor, as you know from the past, the translations you promote have very problems, starting from the titles. We had an article about generation, but not about human childbirth. Now I have transferred your page on kuzaa to a new one about kujifungua, that is human childbirth. No more. We are trying to accept your contributions, though recurrent mistakes, e.g. many links in the text redirecting to English title not existing in Sw Wiki, or missing categories below. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:51, 4 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Thank you for being willing to collaborate. I am of course working with volunteers and introducing them to Wikipedia. While they are generally language experts / translators they are not Wikipedia experts.
We can put all articles translated into / automatically if that would help. Have added attribution to Kujifungua.
What do you mean by "many links in the text redirecting to English title". The software should automatically be substituting EN link with SW links and if it is not I can file a bug report. Best Doc James (talk · contribs · email) 13:16, 6 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Software is a machine... I found such wrong links in your articles, though I had not time to correct all of them. Peace to you, doctor! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:19, 6 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Okay found the link issue... Will see what is happening and what we can do to prevent it going forwards. Doc James (talk · contribs · email) 13:31, 6 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
E.G. link to affect (psychology) in the first text of the now redirected Ugonjwa wa kutotulia kihisia. Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:34, 6 Septemba 2024 (UTC)[jibu]
Thank you for all your help. We will continue to work on improving our efforts. Best Doc James (talk · contribs · email) 10:14, 9 Septemba 2024 (UTC)[jibu]

Padre Giovanni Losi

[hariri chanzo]

Carissimo Riccardo, Pace! Come stai? Io abbastanza bene!!! A dine mese avremo un nuovo parroco, don Andrea Legranzini, proveniente da Boffalora d'Adda. Lo aspettiamo felici!!!

Ti chiedo, per favore, un piccolo favore, se potessi aprirmi questa piccola pagina in Swahili. Ri invio una bozza:

+++++++++++++

[[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' (amezaliwa [[Caselle Landi]], 29 November 1838 – 27 December 1882) ni alikuwa kasisi wa Kiitaliano na mmisionari [[Kanisa Katoliki|Mkatoliki]] nchini [[Italia]]. Alipewa upadre mwaka 1862, mwaka 1872 alikwenda Sudan pamoja na Daniele Comboni, hadi El-Obeid.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> aliandika, pamoja na Padre Bonomi, katekisimu na kamusi ya lugha ya Kinubi.<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya kifo cha Comboni mnamo 1881, alikua mrithi wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref> La traduzuione sarebbe: Ordinato sacerdote nel 1862, nel 1872 andò in Sudan con daniele Comboni, a El-Obeid. ha scitto, con padre Bonomi, un catechismo e un dizionario della lingua Nubiana. Alla morte di Comboni, nel 1881, è diventato il suo successore fino al 1882, anno della sua morte. Grzie di tutto quello che fai per me. Buon fine settimana!!! '''[[Mtumiaji:Rei Momo|Rei Momo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rei Momo|majadiliano]])''' 10:05, 13 Septemba 2024 (UTC) Sarebbe così: [[Image:Father Giovanni Losi MCCI.jpg|Right|thumb|220px|Giovanni Losi (1865).]] '''Giovanni Losi''' ([[Caselle Landi]], [[29 Novemba]] [[1838]] – [[27 Desemba]] [[1882]]) alikuwa [[kasisi]] na [[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Italia]]. Baada ya kupewa [[upadirisho]] [[mwaka]] [[1862]], mwaka [[1872]] pamoja na [[Daniele Comboni]] alikwenda [[Sudan]], hadi [[El-Obeid]].<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334</ref> Huko aliandika, pamoja na padre Bonomi, [[katekisimu]] na [[kamusi]] ya [[lugha]] ya [[Kinubi]].<ref>[https://www.comboni.org/fratelli/106304 In Pace Christi - Giovanni Losi]</ref> Baada ya [[kifo]] cha Comboni mnamo [[1881]], alikua [[mrithi]] wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.<ref>Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336</ref>

Tanbihi

[hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Rei Momo (majadiliano) 10:04, 13 Septemba 2024 (UTC) [jibu]

Grazie di tutto, per il gradissimo aiuto!!!

Che padre Losi interceda per tutti noi!!! Rei Momo (majadiliano) 06:35, 18 Septemba 2024 (UTC)[jibu]

Giovanni Losi

[hariri chanzo]

Grazie di tutto, Pace!!! Rei Momo (majadiliano) 20:40, 19 Septemba 2024 (UTC)[jibu]

[hariri chanzo]

Hey Riccardo... The SW Mpox article was linked to the outbreak[3] rather then the disease itself.[4] Have fixed. Doc James (talk · contribs · email) 17:20, 30 Septemba 2024 (UTC)[jibu]

Request

[hariri chanzo]

Can you please take a look at Jamii:Makala kwa ufutaji? Thanks, TenWhile6 (majadiliano) 09:51, 24 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]

Redirect

[hariri chanzo]

mwandiko is nothing but redirect to maandishi.

Missing content exists in w:it:jod w:it:sho (lettera) @ w:it:Template:Alfabeto_greco_navbox.

Please import it here, thank you. ~2024-8390 (talk) 17:32, 3 Novemba 2024 (UTC)[jibu]

I wonder if you know the meaning of both articles. They are not the same as you claimed. MuddybLonga 09:01, 4 Novemba 2024 (UTC)[jibu]
Dear Muddy, thanks. As usual, they don't know our language. All the same, I have changed the redirect to a full article about "handwriting". Peace to both of you. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:21, 4 Novemba 2024 (UTC)[jibu]