Majadiliano ya mtumiaji:Murbaut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 09:00, 4 Oktoba 2016 (UTC)

Ndugu, umeanza kuhariri na karibu sana! Umeona ya kwamba mchangiaji mmoja aliona sehemu ya michango yako haifai. Ni kweli ya kwamba ulichoingiza kwa Rwekaza Mukandala haifai. Maana hujaleta habari yoyote kuhusu mtu mwenyewe. Kumtakia mtu chochote (heri au jehenam au paradiso) haina nafasi katika kamusi elezo. Pia hatuandiki majina yetu kama wachangiaji. Tatizo ni vile kwa Usimamizi wa raslimali watu maana hakuna habari ndani yake ambayo yanaeleza chochote. Pamoja na tatizo la tahajia maana ukijua kitu juu ya jambo heri kutumia tahajia sahihi "rasilmali" (ambayo si tatizo kubwa mno maana kama umeandika habari za maana wengine wanaweza kusahihisha pia). Nyongeza yako kuhusu Korongo Domo-wazi‎ ilikuwa sawa kabisa, asante!. Soma maelezo yaliyotajwa juu na karibu kuchangia habari kamili! Kipala (majadiliano) 09:03, 4 Oktoba 2016 (UTC)

@Kipala: I'm sorry for that, but I have intentions good for this wiki. (:Murbaut (majadiliano) 09:33, 4 Oktoba 2016 (UTC)
Asante kwa jibu. Hakuna haja ya kuomba samahani! Sisi sote tunajitolea hapa, na makosa ni jambo la kawaida. Muhimu ni kusikizana na kushauriana na kuendelea kujenga. Kwa hiyo: michango yako ya kusahihisha, kuongeza na kadhalika yanakaribishwa! Tafakari ni katika nini unapojua kitu, wapi unaweza kusaidia kwa kuongeza, kwa kutafsiri makala kutoka lugha nyingine (Kiingeeza?) hata kama ni sehemu tu, au kusaidia kusahihsha makala yenye kasoro.Kipala (majadiliano) 22:42, 4 Oktoba 2016 (UTC)
Mzee wangu, unapoteza nguvu zako buuure kabisa! Hajui Kiswahili wala hajataja katika uso wa ukurasa wake. Pole sana! Mbadilishie lugha mutaelewana!--MwanaharakatiLonga 07:19, 5 Oktoba 2016 (UTC)
Nahisi unasema kweli. Ila tu wakati mwingien nina muda wa kupoteza! Kipala (majadiliano) 22:18, 5 Oktoba 2016 (UTC)
  • Not to kupoteza I want to learn in here wiki with language. :)Murbaut (majadiliano) 02:40, 6 Oktoba 2016 (UTC)
          • Baaahahahaha - Mzee Kipala, una visa sana. Haya, hongera kwa muda huo!--MwanaharakatiLonga 09:30, 6 Oktoba 2016 (UTC)