Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Mchizi Petro

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Hussein m mmbaga (majadiliano) 19:10, 8 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Thank you Kigezo:Mchizi Petro Kigezo:Mchizi Petro Pingu is a musical artist at Dashfire Music Baby. If you want to know more about the artist check out his biography below:

Kigezo:Biography: Kigezo:Peter Mwambito Mkirema. Professionally known as Kigezo:Mchizi Petro alias Kigezo:Mchizi Pingu alias Kigezo:Dashfire Boy. Is a Kenyan Musician,Raper,Song writer.one of His popular song is I love you.

Kigezo:Born Kigezo:6 September 1994,Age 28 in Taita Taveta coast Kenya

Kigezo:Education Studied at. St Gabriel primary. St Johns secondary. Rural Aid Kenya Training Institute collage. Nairobi Institute of business studies.

Kigezo:Occupation Kigezo:Rapper, Kigezo:Singer, Kigezo:Song Writer, Kigezo:Vocalist.

Kigezo:Active Year 28 February,2021-Present.

Kigezo:Children {{[Blessing Zawadi [December,2020] Margret Mshai February,2023]}}

Kigezo:Musical Career Kigezo:Genres Kigezo:Hip-hop, Kigezo:Afro pop, Kigezo:Instrumentals, Kigezo:Piano, Kigezo:Gutter, Kigezo:Vocals.

Kigezo:Label Kigezo:Dashfire Music Baby D.M.B

{{[Popular Notable_Works]}} Kigezo:I Love You, Kigezo:Ringa Nikusikie, Kigezo:Winner/Happy Birthyday Kenya, Kigezo:God Of Love, Kigezo:Baby Girl, Kigezo:Winning.

Mchizi Petro

[hariri chanzo]

Peter Mwambito Mkirema, Born September 6,1994 Professionally known Mchizi Petro alias Mchizi Pingu alias Dashfire Boy. Is a Kenyan Musician,Raper,Song writer.one of His popular song is I love you.@Mchizi Petro 41.81.135.143 23:44, 19 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

I love you by Mchizi Petro Feat King Rabijoh

[hariri chanzo]

@Mchizipetro Mchizi Petro (majadiliano) 20:26, 4 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Tafadhali usijitangaze

[hariri chanzo]

Mpendwa, umeandaa idadi kubwa ya vigezo (templates) vinavyoonekana ungependa kutangaza kazi yako. Tafadhali ukumbuke Wikipedia si mahali pa kujitangaza. Unaruhusiwa kujitambulisha kwenye nafasi yako ya mtumiaji yaani ukurasa huo hapa. Nje ya hayo ni marufuku. Kwa hiyo tafadhali usiendelee kuunda vigezo ambavyo umeandaa humo maana hapo ungetoka kwenye nafasi yako. Tungelazimishwa kukusimamisha. Pamoja na hayo ukumbuke lugha yetu ni Kiswahili si Kiingereza. Kipala (majadiliano) 02:03, 8 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Kuhusu Kujitangaza

[hariri chanzo]

Salamu,nakukumbusha kuwa Wikipedia ya Kiswahili siyo sehemu ya kujitangaza,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:28, 22 Novemba 2023 (UTC)[jibu]