Majadiliano ya mtumiaji:MarsRover

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, MediaWiki Content Translation, etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 18:21, 9 Desemba 2009 (UTC)Reply[reply]

Appreciations[hariri chanzo]

Salam, MarsRover! We are really appreciating your contributions. Yaani, unachangia na kuboresha makala za SWWP kwa kiasi kikubwa sana. Thanks for that! Also, I would like to know if you are understanding Swahili? Because your job it's pretty amazing to me. It's awesome, man. So, wish you nothing, but the best - and happy edit!--MwanaharakatiLonga 08:57, 12 Februari 2010 (UTC) Reply[reply]

Sure. I will definitely tell you once you make a mistake! Also, if you have any problem, please notice me and I'll be more than willing to help you out! Yours,--MwanaharakatiLonga 10:23, 12 Februari 2010 (UTC)Reply[reply]


Rais wa Marekani na utafsiri wa google[hariri chanzo]

Hi, you entered a translation of en:President of the United States. This is a machine translation, right? Google translate, I presume? Kindly do this never again. It is plain and simply no Kiswahili but an unintellegible mumbo-jambo. Unfortunately we have had a number of such entries during the google sponsored competion and we have not yet managed to clear the resulting mess. Please do not add more of that! If you can correct it please do so soon - otherwise we better revert. Kipala (majadiliano) 08:56, 18 Agosti 2010 (UTC)Reply[reply]

Sorry, I did not check so I am afraid I was quite impolite! Samahani! Of course your action of moving was correct under these circumstances. Kipala (majadiliano) 18:57, 18 Agosti 2010 (UTC)Reply[reply]